Monday, March 16, 2009

UREMBO

Hina inapendeza sana

MAMBO YA UTAMADUNI

Mchezeaji nyoka wa kikundi cha sanaa cha wanne star akionyesha umahiri wa kucheza na nyoka-CHATU

Akimtoa nyoka ndani ya box anakohifadhiwa
MITINDO YA MAVAZI KTK FASHEN YA KAKAKUONA ILIYOTIA FORA

hili ni gauni sehemu ya chini limepambwa na vibuyu na limebiniwa mwanamitindo FATUMA AMOUR


Vazi la bibi harusi
kwa mtindo wa aina yake


maharusi changamkieni new fasheni




Friday, February 6, 2009

MAMBO YA WARSHA HAYOOOOO


Mafanikio niliyoyapata katika mafunzo ya kutumia mtandao kwa wanahabari nchini na hata duniani kote na umuhimu wake .
Mafunzo haya yamedumu kwa siku tano na kufadhiliwa na Taasisi ya vyombo vya Habari kusini mwa Afrika-MISA, chini ya mkufunzi bwana peik Johansson kutoka shirika la utangazaji la finland.

Katika warsha hii nimejifunza mambo mengi kikubwa zaidi ni namna ya kuweza kupata historia,kupata vyanzo mbalimbali vya habari kutoka sehemu mbalimbali dunia tena kwa njia rahisi tu kwa kutumia mtandao ambapo msomaji wako ni rahisi kuweza kusoma zaidi habari hiyo kwa kutumia viunganishi mbalimbali kwa mfano http://www.freemidia.com,www.dailynews.habari/ leo.com,www.raimwema.com ama http://www.ippmedia.com/ na nyingine nyingi kama hizo .
Kwa habari za mataifa mbalimbali mwandishi anapashwa pia kutumia mashirika mbalimbali ya habari ili kumuwezezsha msoji wake kuisoma habari hiyo kwa mitazamo tofauti katika mataifa kwa mfano mwandishi anaweza kutumia viunganishi vya www.bbc.co.uk,www.dwelle.com,http://www.bbc.co.uk,www.dwelle.com,http//www.reutars.com,www.aljazeera.com/om,www.aljazeera.com/ na http://www.cnn.com/ na mingine mingi ya aina hiyo.
Vivo hivyo hata katika kuandika habari za biashara na majanga mbalimbali lazima mwandishi awe na viunganishi vya habari hiyo ili kuwa na uwanja mpana wa kuelewa mambo na mitazamo tofauti kutoka kwa waandishi wengine.
Mambo mengine tulio jifunza ni matumizi ya mtandao ni namna ya kuweza kupata matamshi ya maneno kutoka lugha tofauti pamoja na kuweza kupata thamani ya pesa kutoka nchi moja kwenda nyingine kwa kutumia mtandao.
Cha msingi zaidi katika mafunzo haya tumejifunza kuwa ni mwiko kwa mwandishi kunakili kazi ya mwandishi mwenzake lakini anapaswa kusoma na kuelewa nini kimeandikwa nay eye atumie mawazo yake katika kuielemisha jamii.
USHAURI.
Ningependa mafunzo haya yatolewe pia kwa wanahabari walioko vijiji ili kuweza kuwa na mtandao mkubwa wa kupashana habari.

Kuwa mtumwa wa kujifunza

Wanahabati kutoka sehemu mbalimba wakifuatilia mafunzo ya kutumia mtandao
kutoka kushoto,(mkombe zanda -redio times,Jian Alipo-daily news,Peter-mwananchi)
nyuma kushoto(hyasinta timoth- marija,zuena msuya-tbc.
Zuena Msuya, Mfanyakazi wa TBC akicheki mtandao


regina mwalekwa-itv/redio one,joyce njalame-redio uhuru na basil msongo-habari leo wako makini kucheki news mtandaoni

Viumbee

Mbwa wa kwetu wanaweza hivi
Kwa wenzetu chakula maalum TZ mdudu mbaya

Cowboy iko Bombaaaaaaaa!!!!!!!!!


Hata OBAMA anafagilia Cowboy si watalii pekee wakati wa kupanda Mlima KILIMANJARO.

V-G Sent ndani ya BARIADI


Hivi ndivyo Mzee huyu wa V-G sent alivyopokelewa wakati akiwasili Jimboni kwake.

Tuesday, February 3, 2009

KUWA MTUMWA WA KUJIFUNZA

Maisha ni kujifaunza kila kukicha na cha msingi ni kuomba mungu akupe uzima na nguvu jitahidi kutochoka katika maisha yako hasa katika kutaka kujua dunia inaendaje.